Akili Test

Akili Test

Paket:
com.NamsweaTech.AkiliTest
Downloads:
100
Größe:
14 MB
Erforderliche android-version::
3.2 oder höher
Aktualisiert:
6. Apr 2017
5
Letzte version:
1.5
Alter:
Jeder
Kostenlose Download

Akili Test hukupa maswali tofauti kwa ajili ya kujua uwezo wako wa kufikiri. Na maswali hayo yapo katika kujua uwezo wako wa hesabu, kung`amua baadhi ya mambo na mengine kwa uwezo wako wa kufikiria utaweza kuyapata. Kama swali utakua umepata basi utaonyeshwa alama ya vema na kama umekosa basi utaona alama ya kosa. Na mwisho utaona umepata ngapi katika maswali mangapi.

Kommentare

Ähnlich